Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Kuna sista mmoja niko nae job ila design anafanya side hustle za biashara ya mbwa. At first nilikua simuelewi but then one day nikaibuka kwake. Ebana eeeh, noma kishenzi sista ana ma German shepherd, rottweilers sijui Malnois,Boerboel nini. Akaniambia mdogo wangu hawa mbwa ndio wamenifanya nichukue huu unyama mpya wa Crown Hybrid ( 2.5L Engine, Hatchback, full customised interior with Louis V leather seats, TRG custom rims, 10.1' inch android car stereo with JBL Gt-X1300Thi 1300W wired subwoofer) na pia watoto wangu wote nawasomesha pale Fountain Gate Academy ( which in Dodoma its one of elite schools) nikaona kweli Side hustles muhimu !
 
Wanasiasa wetu wao wanakatisha tu
Wanachaguliwa Chipukizi wa Chama na wanaandaliwa kuwa majizi na millionaires baadae
Wao mawaziri wanapeleka Feza inatosha wanakaririsha watoto wao halafu vyeo vinawasubiri
 
Kwani Bakhresa bado anasomesha?
 
wabongo kwa ushamba bana, wapo watu kibao wanaofanya bishara za kawaida tu hawashindwi kufanya kitu kama hicho.
 
WOTEEEEE WANAKUTANAAA UDSM AMA NDIO WANAPELEKWA ISRAEL/AFGHANSTAN/GAZIA KUSOMA WAKIMALIZA FORMSIX??
 
Shidaaaa siohelaaa shidaa unasomesha wakwakooo amandio kapigwaa ndoigeeeee hioosuraaa na mond....kama simbanayangaaaaaa
 
Na huu ndio ukweli usiopingika wa maisha: Usiwasomeshe watoto wako kuwa matajiri, wafundishe kumjua Mungu,Yeye atawapa utajiri. Kwa njia hiyo watakuwa na furaha ya kweli. Kwa njia hiyo pia watakapokuwa wakubwa watajua thamani ya vitu na sio bei.
Kwenda huko na vimisemo vyenu vya kujifariji, kapate hela chafu kwanza isiyo na mawazo ndo uje useme haya maneno wakati una option ya kuwapeleka watoto huko ila HAUJAAMUA.
Otherwise umasikini sio sifa.
 
Hii sio sawa. Unafichua identity ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…