Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
Ni jambo jema sana kujisomea.
Kipengele muhimu sana cha elimu
Ni kujisomea baada ya kumaliza shule
Nje ya darasa
Mbali na walimu
Bila kutarajia cheti
Bali kwa 'interest' tu
Sawasawa na apendavyo mtu.
Kuna wanaopenda hadithi
Kuna wanaopenda biashara
Kuna wanaopenda teknolijia
Kuna wanaopenda afya.
Leo kuna elimu ya kila aina mtandaoni.
Kwa sasa najisomea kitabu kinaitwa
"Goodbye Germ Theory: Ending a Century of Medical Fraud.
Yaani: Kwaheri Nadharia ya Vijidudu: Kukomesha Karne ya Utapeli wa Kitabibu.
Kimeandikwa na Dr. William Trebing.
Kama unapenda kusoma (na ninakushauri ujizoeze kupenda)
ni kitabu KIZURI MNO. YAANI MNO!
Kinakufungua macho kwa namna usiyoweza kudhani.
UKIPENDA, unaweza kukidownload HAPA.
Kwa kifupi, utaweza kupata majibu ya maswali yafuatayo, ambayo tumeshazoeshwa majibu fulani:
1. Je, vijidudu (germs) kweli husababisha magonjwa?
2. Ni udanganyifu gani ambao umekuwa ukifanywa na makampuni makubwa ya dawa duniani ili kujipatia utajiri huku mamilioni ya watu wakihangaika kutumia dawa zao zisizo na faida wala ulazima?
3. Unawezaje kuishi bila kutegemea bidhaa za makampuni ya dawa?
Dunia imejaa uongo, hila na udanganyifu!
Believe me.