Elimu picha:Kazi ya defroster button

Elimu picha:Kazi ya defroster button

Joined
Jun 11, 2022
Posts
27
Reaction score
42
KAZI YA DEFROSTER BUTTON

kwenye gari ni kukausha au kuongeza joto ili kukausha vioo vya gari wakati wa hali ya mvua au unyevunyevu unaosababisha vioo kuwa na ukungu au majimaji na kukuziba kuona vizuri nje.

HIZI BUTTON HUWA KWENYE DASHBOARD YA GARI MFANO

Namba 1. Ukibonyeza hiyo button unaruhusu gari kukausha vioo vya pembeni na mbele vya gari lako.

Namba 2. Ukibonyeza unaruhusu kukausha side mirror na kioo cha nyuma cha gari.

Kuna gari huwa navyo vyote na kuna gari huwa na namba 2 tu na pia kuna gari hufanya kazi moja tu ya kukausha side mirror.

Kwa ushauri au kuagiza gari tembelea ofisi zetu za

MWANZA: PSSSF PLAZA
MBEYA: MWANJELWA SOKO JIPYA
DAR ES SALAAM: GOLDEN JUBILEE TOWERS

Au piga 0719 989 222

** Agiza Nasi sasa*
** Gari Bora, Bei nafuu*
** Yetu motors company ltd*

IMG-20241119-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom