T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 856 Reaction score 145 May 6, 2011 #1 NAOMBENI MSAADA JAMANI!Nataka kurudia mtihani wa kidato cha SITA february 2011 kwa Combination ya HKL.Kwa kuwa SILABASI zimebadilika naomba nitajiwe mada zinazotakiwa kusomwa katika History,Kiswahili na English language.ili niweze kujiandaa mapema!
NAOMBENI MSAADA JAMANI!Nataka kurudia mtihani wa kidato cha SITA february 2011 kwa Combination ya HKL.Kwa kuwa SILABASI zimebadilika naomba nitajiwe mada zinazotakiwa kusomwa katika History,Kiswahili na English language.ili niweze kujiandaa mapema!