Elimu TZ haieleweki kabisaaaa!

Elimu TZ haieleweki kabisaaaa!

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
856
Reaction score
145
NAOMBENI MSAADA JAMANI!Nataka kurudia mtihani wa kidato cha SITA february 2011 kwa Combination ya HKL.Kwa kuwa SILABASI zimebadilika naomba nitajiwe mada zinazotakiwa kusomwa katika History,Kiswahili na English language.ili niweze kujiandaa mapema!
 
Back
Top Bottom