JE DUNIA HUZUNGUKA JUA AU JUA HUZUNGUKA DUNIA ?
Kuhani mmoja aliuliza swali hili na kutaka kupata ukweli ila yeye alionekana akiwa na ukweli wake moyoni na kichwani mwake kwamba anahitaji kujua kuwa dunia huzunguka Jua au Jua huzunguka dunia ila yeye anaamini Jua huzunguka dunia 🤔
Naomba nimjibu Jibu hili unajua watu wengi wapo katika kuamini kuwa Sayari dunia ni moja ikiwa na Jua , Mwezi na Nyota ni mapambo ya anga la ulimwengu bila kujijua kuwa wanasahau kwamba kuna sayari kama Mercury Venus , Saturn , Jupiter , Mars nk kwamba zote hizo zipo kwenye umiliki wa nyota Jua
Anasema kama Jua halizunguki na dunia ndio inazunguka kwanini tunaona kila siku Jua linatokea mashariki na kuzamia magharibi na kwanini wanasema sunrise na sunset ?
Embu nikujibu kaka kuna Evolution na Rotation na inabidi ukumbuke dunia inafanya vitu vyote hivyo kwamba inafanga rotation ambayo ni kila baada ya masaa 24 na pia evolution ni kila baada ya siku 365 , dunia hujizungusha kutokea kushoto na kuendelea kulia kwahiyo kwakuw dunia inajizungusha kwahiyo ni dhairi lazima watu kwenye eneo fulani waweze kuliona lile tukio likiwa linabadilika badilika ni hivi kama sisi tupo tanzania kumbuka dunia inazunguka kwahiyo kama tulikuwa tanzania tupo kwenye mawio tutapita mchana na hatimaye tutaenda kwenye machweo
Na kadri tunavyoenda kwenye machweo ile taswira ya Jua huwa inatukimbia ila kwasisi tuliokuwa dunia huwa tunaona Jua ndio linatukimbia sisi
Jua linazunguka linafanya rotation na linafanya revolution pia ila sio kama vile watu wanavyofikiri labda nimsaidie Jua hufanya rotation kwa siku 35 inafanya hivi kwakuwa ni nature ya ulimwengu hakuna kitu kilicho stationary ni lazima vizunguke tu ila kwa sayari zetu hakuna tukio lolote tunalolipata kwa kujizungusha
Na pia tufahamu Jua linajizungusha huku likiwa pale pale ila likifanya revolution hufanya revolution na sayari zake zote yaani huondoka likiwa limebeba sayari na magimba madogo madogo yote
Nikampa mfano mwenginr kumwambie mwezi ndion unaizunguka dunia ndio maana unauona hauna static orbit kwamba mwezi huu ukipita hapa na mwezi ujao utapita hapa hapa hapana mwezi huwa unabadilika badilika katika orbit
Anasema Jua linaizunguka dunia mimi nikamuuliza vipi kuhusu saturn na mars na Jupiter zenyewe huzungukwa na Jua kwa muda upi wakati Jua likiwa linazunguka dunia
Akasema kama dunia ingekuwa inazunguka Jua basi sehemu kubwa ya dunia ingepata mwanga wa Jua na hata usiku ungekuwa ni kwa sehemu ndogo tu ?
Unajua watu wengi wanaisi kuwa Jua lipo Juu yetu wakichukulia vile tunavyoliona bila ya kujua kuwa wanadamu ni sawa na sisimizi aliyeku Juu ya mpira tu ambaye anaamini vyovyote alivyo yeye yuko sawa
Iko hivi hakuna kilicho juu wala chini kwenye space tupo sawa na Jua na sayari zote ziko sawa na Jua ki uwiano wa usawa tunaona kama Jua lipo Juu yetu kwasababu gadi upate surface ya dunia inabidi upite kwenye matabaka mengi sana ya hewa yaani yale yaliyoizunguka dunia ndio uje kuona surface na ukichukulia na udogo wetu basi tunapata kuliona Jua likiwa Juu mbali sana
Mimi nilivyoelewa watu wengi bado wapo katika enzi za kina Galileo kipindi kile warumi walivyoamini Dunia ni moja huku Jua , Mwezi na Nyota ni kama mapambo yake
Wenye Hoja au la kuongezea ni Ruksa