Elimu ya Bongo ni UNFAIR

Elimu ya Bongo ni UNFAIR

Kaunara

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
249
Reaction score
452
Uwa najiuliza sana kwanini bongo wasomi wanaongezeka kila kukicha na elimu ilivyo ngumu ya O level na advance level. Kiukweli mtu akipita hizi level kwa kicha chake ni mkali sana. Ila kuna watu leo hii wana degree na masters ukiangalia vyeti vya nyuma ni div 4 au hata wengne inawezekana ikawa ni 0. Inakuwaje Mtu kapata Div 4 anaenda kusoma certificate akimaliza diploma then degree? Basi kuwa na mipaka na mtiririko unaotakiwa kwamba mtu awezi kupata Diploma au Degree mpaka awe na alama fulan kwenye vyet vya O level na Advance au mtu hawezi kupata diploma au Degree mpaka apitie Advance hapo elimu itaheshimika sana. Nasema hivi kutokana na mitazamo yangu kwamba haiwezekani mtu upate Div 4 upite njia ya panya upate degree. O level na A level ni Base ya kila mtanzania. HAMNA KITU DUNIAN CHENYE MSINGI (BASE, FOUNDATION) MBAYA HALAFU KINA MWISHO MZURI. Mtu ana Div 4 anatoka na degree ya G.P.A.4.2. Waajiri kuweni macho sana kwenye hili

THANKS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu usiwe na mawazo mgando, aliyefeli leo usidhani ndio mwisho wake wa kusoma ana option ya kurudia na wengi tu wamefanya hivyo na wakafanikiwa, usikariri matokeo yake ya mwanzo anaweza kuwa ameshayarekebisha maana inaruhusiwa, then kupitia Certificate, Dip na kuendelea huo pia ni mfumo rasmi wa elimu Duniani usikariri kupata degree lazima usome Form six, kuna ichi kama Kenya hazina form six, Huyo wa ziro ya form four then akawa na degree bila kurekebisha cheti chake sidhani kama unaweza dhibitisha hilo ila kama amesoma vyuo ambavyo havitambuliwi yaani not recognized universities au institutions hiyo haitambuliwi kama ni degree
 
Umenena vema sana ila umeharibu hapo kwenye "hapo elimu itaheshimika sana"...Msingi wa elimu si kutia heshima bali ni kukomboa fikra za huyo anayejiita msomi.... Wapo wengi wenye hizo elimu na grade za kuheshimika lakini ukiwaleta kwenye real life skills ni ZERO...hana lolote zaidi ya kukariri tuu...
 
Nimewaelewa poa wadau ila hoja yangu ni kwamba mtu kafeli huku chini ajarekebisha vyeti. Ila anaruhusiwa kusoma certificate then anaendelea mbele tena kwenye vyuo recognized. Nasema hivi na Mfano hai tu Ndugu yangu nakaa nae hapa nyumba moja. Ana div 4 ila ana D ya Kiswahili. Basi Kapata nafasi T.I.A anachukua cerificate flani hapo na akipita hapo anachukua diploma na degree. ila ukweli unakuta huyu mtu na aliyefaulu kihalali hawalingani.
 
Nimekupata kaka, kwanza kumbuka kuna range katika ufaulu yaani kuna marks za juu na za chini ila wote wamefaulu wote wanaufaulu halali kabisa kulingana na NECTA japokuwa ufaulu unapishana, pia kuendelea na shule inategemea na criteria wanazozitaka kwenye hiyo shule au nafasi na ndio maana hata ukienda hivyo vyuo vikuuu hukuti wote wanaufaulu unaofanana.
 
Nachotaka kusema ni hivi Mfano Mtu kapata one labda O Level na mwingne kapata div 4 labda. Huyu wa one kaendelea na na Advance bahati mbaya kahanguka advance labda anaenda kusoma Diploma sehemu. na huyu wa Div 4 kaenda kusoma certificate mwaka mmoja then kaendelea na diploma. huyu aliyehanguka Advance ila ana one yake safi akija pale chuon anamkuta yule alifel yupo juu yake na diploma. sasa naomba kujua kama hapo kuna usawa kielimu.

Naomba ndugu zangu mnieleweshe!!
 
Nimekupata kaka, kwanza kumbuka kuna range katika ufaulu yaani kuna marks za juu na za chini ila wote wamefaulu wote wanaufaulu halali kabisa kulingana na NECTA japokuwa ufaulu unapishana, pia kuendelea na shule inategemea na criteria wanazozitaka kwenye hiyo shule au nafasi na ndio maana hata ukienda hivyo vyuo vikuuu hukuti wote wanaufaulu unaofanana.
Thanks Kiongozi nimekuelewa!!!
 
Back
Top Bottom