Kaunara
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 249
- 452
Uwa najiuliza sana kwanini bongo wasomi wanaongezeka kila kukicha na elimu ilivyo ngumu ya O level na advance level. Kiukweli mtu akipita hizi level kwa kicha chake ni mkali sana. Ila kuna watu leo hii wana degree na masters ukiangalia vyeti vya nyuma ni div 4 au hata wengne inawezekana ikawa ni 0. Inakuwaje Mtu kapata Div 4 anaenda kusoma certificate akimaliza diploma then degree? Basi kuwa na mipaka na mtiririko unaotakiwa kwamba mtu awezi kupata Diploma au Degree mpaka awe na alama fulan kwenye vyet vya O level na Advance au mtu hawezi kupata diploma au Degree mpaka apitie Advance hapo elimu itaheshimika sana. Nasema hivi kutokana na mitazamo yangu kwamba haiwezekani mtu upate Div 4 upite njia ya panya upate degree. O level na A level ni Base ya kila mtanzania. HAMNA KITU DUNIAN CHENYE MSINGI (BASE, FOUNDATION) MBAYA HALAFU KINA MWISHO MZURI. Mtu ana Div 4 anatoka na degree ya G.P.A.4.2. Waajiri kuweni macho sana kwenye hili
THANKS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
THANKS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!