Elimu ya bongo

Elimu ya bongo

mwanamasala

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2009
Posts
248
Reaction score
12
Elimu ya Bongo sio mbaya sana kama watu wanavyofikiria,though Phd fake za Wabunge na Mawaziri zinataka kuturudisha nyuma.
Mfano hawa ni Wabongo vijana wanafundisha vyuo vikuu huko Marekani kwenye fani ya Uhandisi:
Dr Renatus Mussa-FSU Texas
Dr Thomas Sando-UNF Texas
Dr Victor Muchuruza-FSU Texas
Dr Primus Mtenga -FSU Texas
Dr Valerian Kwizigile-Nevada,Las Vegas
 
Mkuu bado tuko mbali tunahitaji jitihada zaidi kati ya watanzania karibia milioni arobaini leo kuna mfano wa watu watano walioko Marekani tukaze buti tuache kujipa moyo.
 
Elimu ya Bongo sio mbaya sana kama watu wanavyofikiria,though Phd fake za Wabunge na Mawaziri zinataka kuturudisha nyuma.
Mfano hawa ni Wabongo vijana wanafundisha vyuo vikuu huko Marekani kwenye fani ya Uhandisi:
Dr Renatus Mussa-FSU Texas
Dr Thomas Sando-UNF Texas
Dr Victor Muchuruza-FSU Texas
Dr Primus Mtenga -FSU Texas
Dr Valerian Kwizigile-Nevada,Las Vegas

Walipata elimu bongo lini hawa wenzetu wanaofundisha Marekani???? Nadhani wakati huo tulikuwa na shule, waalimu, vitabu, labs etc sio sasa ndugu yangu umewahi kusikia waalimu wa miezi sita kufundisha sekondari, think of the product itakayotoka.
 
sio 5 tu,wako wengi ,hiyo ni fani ya uhandisi,bado madoctor etc etc.
 
Dr Renatus Mussa-FSU Texas
Dr Victor Muchuruza-FSU Texas
Dr Primus Mtenga -FSU Texas

Ulikuwa unamaanisha Florida State University (FSU), Florida? Dr. Mtenga yuko FSU, Florida na sio Texas.
 
Skip to content
Navigate UD: Home | Search

School of Engineering












Deogratias Eustace


Assistant Professor of Civil Engineering

Phone: 937-229-3847

E-mail







Degrees


  • Ph.D., Civil Engineering, Kansas State University, 2001
  • MSc., Civil Engineering, University of Dar-Es-Salaam, Tanzania, 1997
  • B.Sc., Civil Engineering, University of Dar-Es-Salaam, Tanzania, 1992
Professional Activities


  • American Society of Civil Engineers
  • Institute of Transportation Engineers (ITE)

Research Interests


  • Nonmotorized transportation safety provisions
  • Traffic forecasts and travel demand modeling
  • Transportation safety
  • Urban transportation planning and land use



Search

More Options >>

  • <LI class=pageActionItem> Print this page
  • E-mail this page
Related Links






Privacy Policy | Terms & Conditions | Careers at UD | Contact UD
©2009 University of Dayton
 
Back
Top Bottom