Elimu ya bure ya ndoa: Kama umeoa au umeolewa pitia hapa

mkulungwa03

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2021
Posts
317
Reaction score
243
Mwanaume unatakiwa umzidi mwanamke vitu vitatu.

1,👉Pesa

2,👉Akili

3,👉Umri

Mwanamke unatakiwa kumzidi mwanaume vitu vitano.

1,👉Subira

2,👉Usafi

3,👉Mipango

4,👉Upendo

5,👉Nguvu ya maombi

Ili mdumu mnatakiwa kufanana kwenye vitu hivi.

1,👉maelewano

2,👉uvumilivu

3,👉heshima
 
Tips nyingine za nyongeza kwa wanandoa hasa wanawake;

*Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu hata kama ungekuwa umemkosea nini. Mke ukijua kujishusha na kunyenyekea Mume analainika.

*Mume hafokewi, hagombezwi, hafanyiwi jeuri na kiburi. Asipokutafuta wewe mtafute ni mume wako wa ndoa unaruhusiwa kumng'ang'ania kama Ruba. Asipokupigia simu wewe mpigie, asipoongea nawe wewe muongeleshe, hakunaga mke anaambiwa anajipendekeza kwa mumewe. Ndoa nyingi zilizodumu muda mrefu zina uhusiano na wanawake wenye tabia za hivi nje ya hapo hutegemea uvumilivu wa mume.
 
Umenena vyema sana Mkuu
Blessup
 
Kuna watu wanaamini ndoa ni sawa na shule,kwamba unayofundishwa darasani ndio yaliyopo kwenye field!

Poleni sana.
Ndoa ni muendelezo wa maisha yako/yenu ya leo. Usitarajie makubwa kama unaishi kwa nadharia.
 
Asante.

Nachekaga tu nikiona huu utopolo. Ni sawa na kilimo cha kwenye makaratasi. Faida kubwa ajabu. Shida sasa ukienda field ndoa unaujua ukweli.

Ila siyo vibaya kuwa na nadharia hizi. Cha muhimu tu uwe tayari kuzibadilisha kulingana na utakayokutana nayo huko ndoani!
 
Ukikosea kufanya maamuzi ya kuwa na mtu sahihi laZima uione hii ni nadharia
We jamaa unafurahisha sana. Mtu sahihi ndiye yupi? Na unajuaje kuwa huyu ndiye sahihi? Kila mwanamke ni mtu sahihi kabla hujamuoa. Mfikishe ndani huko sasa ndo utauona usahihi wake. You are too naive !!!
2.5610419691438356E18.jpg
 
Tips nyingine za nyongeza kwa wanandoa hasa wanawake;

*Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu hata kama ungekuwa umemkosea nini. Mke ukijua kujishusha na kunyenyekea Mume analainika.

*Mume hafokewi, hagombezwi, hafanyiwi jeuri na kiburi. Asipokutafuta wewe mtafute ni mume wako wa ndoa unaruhusiwa kumng'ang'ania kama Ruba. Asipokupigia simu wewe mpigie, asipoongea nawe wewe muongeleshe, hakunaga mke anaambiwa anajipendekeza kwa mumewe. Ndoa nyingi zilizodumu muda mrefu zina uhusiano na wanawake wenye tabia za hivi nje ya hapo hutegemea uvumilivu wa mume.
Mzee umeoa?
 
Kama mke wangu angemudu japo vitu vitatu kati ya ulivyotaja ningeishi kama peponi
 
Kwa wale tuliooa akina Meghan Markle haituhusu!

Wale waliochagua akina Sanchoka ndio mda wao wa kujuta huu baada ya kuingiza matatizo ndani 🤓🤓🤓! Maana walihisi ndoa ni matako makubwa na sura nyeupe wakasahau brain na adabu ndio vipaumbele!
 
We jamaa unafurahisha sana. Mtu sahihi ndiye yupi? Na unajuaje kuwa huyu ndiye sahihi? Kila mwanamke ni mtu sahihi kabla hujamuoa. Mfikishe ndani huko sasa ndo utauona usahihi wake. You are too naive !!!
View attachment 1765952
Huyu jamaa na hii nguo yake akidondoka chini unaweza fikiri ni trei la vyombo ndo limedondoka kwa huo mlio utaotokea hapo.
 
Back
Top Bottom