mkulungwa03
JF-Expert Member
- Apr 1, 2021
- 317
- 243
Lina ukweli hili lakini ni asilimia ndogo sana kama ukimpata mtu asie sahihi kwakoUzuri kila ndoa ina miiba na maua yake
Umenena vyema sana MkuuTips nyingine za nyongeza kwa wanandoa hasa wanawake;
*Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu hata kama ungekuwa umemkosea nini. Mke ukijua kujishusha na kunyenyekea Mume analainika.
*Mume hafokewi, hagombezwi, hafanyiwi jeuri na kiburi. Asipokutafuta wewe mtafute ni mume wako wa ndoa unaruhusiwa kumng'ang'ania kama Ruba. Asipokupigia simu wewe mpigie, asipoongea nawe wewe muongeleshe, hakunaga mke anaambiwa anajipendekeza kwa mumewe. Ndoa nyingi zilizodumu muda mrefu zina uhusiano na wanawake wenye tabia za hivi nje ya hapo hutegemea uvumilivu wa mume.
Nadharia tamu sana. Shida ni kwenye practical
Ukikosea kufanya maamuzi ya kuwa na mtu sahihi laZima uione hii ni nadhariaNadharia tamu sana. Shida ni kwenye practical.
Lina ukweli hili lakini ni asilimia ndogo Sana kama ukimpata mtu asie sahihi kwako
Kuna watu wanaamini ndoa ni sawa na shule,kwamba unayofundishwa darasani ndio yaliyopo kwenye field!
Poleni sana.
Ndoa ni muendelezo wa maisha yako/yenu ya leo. Usitarajie makubwa kama unaishi kwa nadharia.
We jamaa unafurahisha sana. Mtu sahihi ndiye yupi? Na unajuaje kuwa huyu ndiye sahihi? Kila mwanamke ni mtu sahihi kabla hujamuoa. Mfikishe ndani huko sasa ndo utauona usahihi wake. You are too naive !!!Ukikosea kufanya maamuzi ya kuwa na mtu sahihi laZima uione hii ni nadharia
Mzee umeoa?Tips nyingine za nyongeza kwa wanandoa hasa wanawake;
*Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu hata kama ungekuwa umemkosea nini. Mke ukijua kujishusha na kunyenyekea Mume analainika.
*Mume hafokewi, hagombezwi, hafanyiwi jeuri na kiburi. Asipokutafuta wewe mtafute ni mume wako wa ndoa unaruhusiwa kumng'ang'ania kama Ruba. Asipokupigia simu wewe mpigie, asipoongea nawe wewe muongeleshe, hakunaga mke anaambiwa anajipendekeza kwa mumewe. Ndoa nyingi zilizodumu muda mrefu zina uhusiano na wanawake wenye tabia za hivi nje ya hapo hutegemea uvumilivu wa mume.
Ndio nipo kwenye Ndoa ya mke mmoja (15yrs)mzee umeoa?
Huyu jamaa na hii nguo yake akidondoka chini unaweza fikiri ni trei la vyombo ndo limedondoka kwa huo mlio utaotokea hapo.We jamaa unafurahisha sana. Mtu sahihi ndiye yupi? Na unajuaje kuwa huyu ndiye sahihi? Kila mwanamke ni mtu sahihi kabla hujamuoa. Mfikishe ndani huko sasa ndo utauona usahihi wake. You are too naive !!!
View attachment 1765952
.michepuko vipi?Ndio nipo kwenye Ndoa ya mke mmoja (15yrs)
Wala sina mchepuko na hobby hiyo sina.michepuko vipi?
Uzito kama woteWe jamaa unafurahisha sana. Mtu sahihi ndiye yupi? Na unajuaje kuwa huyu ndiye sahihi? Kila mwanamke ni mtu sahihi kabla hujamuoa. Mfikishe ndani huko sasa ndo utauona usahihi wake. You are too naive !!!
View attachment 1765952