Msumbeni2015
New Member
- Jul 22, 2021
- 2
- 1
Kutokana na kuporomoka kwa MAADILI na utovu wa nidhamu ulio kithiri mashuleni,vyuoni na jamii kwa ujumla ni wazi sasa serikali inalazimika kuliweka Somo la ELIMU YA DINI mashuleni na vyuoni kuwa ni LAZIMA kama njia ya kupambana na CHANGAMOTO hizi
ELIMU YA DINI
hili ni Somo ambalo litakuwa linawajenga vijana kimaadili na kitabia kuanzia shule za AWALI mpaka VYUO vikuu,
CHANGAMOTO ZA VIJANA WA SASA
Vijana wa sasahivi wameendekeza mahusiano ya kimapenzi na ngono zembe,ulawiti,ukahaba.
Matumizi mabaya ya simu na mitandao ya kijamii
Matumizi ya dawa za kulevya,pombe,shisha,sigara na bangi.
Uvaaji,unyoaji,uzungumzaji usio na MAADILI ya kitanzania
CHANGAMOTO zote hizo ni NADRA kuzikuta kwa watoto au vijana walio kulia katika mazingira ya DINI,mfano halisi ni kwa vijana wanao soma katika shule za SEMINARI asilimia kubwa Kama sio yote wanakuwa na MAADILI na wanakuwa vijana wa kutegemewa katika TAIFA
Vijana wanaosoma katika shule za kawaida ni SHEEDAH yaani hawasikii wala hawaoni,hivyo nashauri yafuatayo yafanyike
Serikali iliweke Somo la ELIMU YA DINI KUWA NI LAZIMA Kama masomo mengine.
Serikali igarimie garama za kuwalipa walimu wa masomo ya ELIMU YA DINI katika shule na VYUO vyote vya serikali.
MWISHO
Somo hili la ELIMU YA DINI likiwekewa MKAZO linaweza kupunguza mmomonyoko huu mkubwa wa MAADILI kwa vijana na watoto wetu mashuleni na vyuoni na pia linaweza kuwa MBADALA wa VIBOKO mashuleni