Elimu ya form six bado inapewa kipaumbele na Serikali

Elimu ya form six bado inapewa kipaumbele na Serikali

Mbona ni degree holder wanao hitajika au ume comment pasipo kusoma[emoji23] mtoa mada kamaanisha wanataka mwenye degree aliyepita form 6 kulingana na tangazo
Maana wapo wenye degree waliopita diploma
Na wapo wenye cheti cha 4m 6 ila ni diploma holders. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baadhi ya course lkn mpk sasa technicians wanalamba asali kuliko degree mfano...
Civil tech
Mechanical tech
Electrical tech
Sijui ni kubana matumizi au vp...
 
Back
Top Bottom