B BG baba Member Joined Apr 2, 2012 Posts 42 Reaction score 4 Apr 4, 2012 #1 Wanafunz wa vyuo vikuu tz wamefungiwa kufanya mikutano yao hasa wanapo dai hak zao zinazoonekana kutotekelezwa na serika, likiwemo la kucheleweshewa mikopo yao. Je hii ni halali? Na maisha bora kwa mtz ndo haya?
Wanafunz wa vyuo vikuu tz wamefungiwa kufanya mikutano yao hasa wanapo dai hak zao zinazoonekana kutotekelezwa na serika, likiwemo la kucheleweshewa mikopo yao. Je hii ni halali? Na maisha bora kwa mtz ndo haya?
M Mchokozi JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 215 Reaction score 29 Apr 4, 2012 #2 Fafanua umepata wapi?
Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Apr 4, 2012 #3 kuu mbona habari yako haijitoshelezi kimaelezo?Hebu funguka basi tukusome vizuri!