Wanafunz wa vyuo vikuu tz wamefungiwa kufanya mikutano yao hasa wanapo dai hak zao zinazoonekana kutotekelezwa na serika, likiwemo la kucheleweshewa mikopo yao. Je hii ni halali? Na maisha bora kwa mtz ndo haya?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.