elimu ya juu

elimu ya juu

Jeph galax

Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
11
Reaction score
0
tunapenda sana kusoma lakini hii serikali yetu inaubaguzi. KWANINI TUSIPEWE MIKOPO?
 
Dah pole! Umeandika kwa huzuni nafeel that pain but never give up!
 
😕 Pole sana!!!! Tupo wengi wenye matatizo kama hayo. Unajua kuna WATANZANIA tunaoishi kama siyo nchi yetu
HATA MIMI INANIUMA SANA KWAMBA NIPO CHUONI SINA MKOPO NA WENZANGU WANA MKOPO LAKINI WOTE TUMELETWA NA TCU. KWA SUALA HILI KWELI MMETUBAGUA KAKA HUJAKOSEA.
 
Back
Top Bottom