wanajukwaa nawasalimu kwa iman zenu.
nimeshangaa sana leo nilipokutana na mwalimu wa cheti ktk mazungumzo nijikuta namuuliza "hivi tanganyika ilikuwa jamhuri tangu lini?" majibu yake yakawa hivi "ilikuwa 1964 bwana" nilisituka sana hii elimu ya kibongo inaelekea wap kama mwalimu hajui mambo ya kawaida kama haya?