Elimu ya kibongo jamani duuh!

Elimu ya kibongo jamani duuh!

miss of queen

Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
8
Reaction score
8
wanajukwaa nawasalimu kwa iman zenu.

nimeshangaa sana leo nilipokutana na mwalimu wa cheti ktk mazungumzo nijikuta namuuliza "hivi tanganyika ilikuwa jamhuri tangu lini?" majibu yake yakawa hivi "ilikuwa 1964 bwana" nilisituka sana hii elimu ya kibongo inaelekea wap kama mwalimu hajui mambo ya kawaida kama haya?
 
hebu tuambie wewe tanganyika ilikua jamhuri tangu lini?
 
mtoa mada hujitambui hebu na ww tuambie babu yako mzaa bibi WA mzaa bibi ako WA bibi ako ana umri WA miaka mingap ss toka azaliwe?
 
Broo unaweza kuta ka specialize kwenye mathematics na.sio history hapo.hakuna.shida
 
hii post ipelekwe kwenye jukwaa la jokes huku sio mahala pake....!!!!
 
Back
Top Bottom