Elimu ya kichawi

Elimu ya kichawi

kaleju

Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
48
Reaction score
2
Selikar ya Tz bwana! Inategemea miujiza katika kuboresha elimu. .
Baada ya matokeo ya la saba serikal yatoa tamko kwamb mwanafunz aliye fauru na hajui kusoma na kuandika hasripot katka shule aliochaguliwa. Swali ni kwamba kwanini serikal ilifuta mchujo wa darasa la nne. Kupitia mitihni hii watoto wasiojiweza walirudia darasa na kupikwa upya ili watakapo maliz la saba wajiunge sec wakijua kusoma na kuandika
 
Back
Top Bottom