Elimu ya kidato cha nne ni elimu kubwa sana ndani ya chama chetu

Elimu ya kidato cha nne ni elimu kubwa sana ndani ya chama chetu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Achana na ufaulu kwakuwa unaweza kuchora duara na bado mambo yako yakawa supa sana.. Kikubwa uwe kada mtiifu halafu usiwe mchoyo...! Halafu ujue kuwanyenyekea wakubwa!

Kule kwa wavimba macho na wengineo wameweza kutoboa kwa sababu engine haikuwa mbovu... Walihakikisha ofisi kubwa inakamatwa na mhandisi

Ukiwa mhandisi hata wasaidisi wako utataka wawe wahandisi.. Uhandisi kwenye kila kitu

Uhandisi wa sayansi
Uhandisi wa kemia
Uhandishi wa bailojia
Uhandisi wa miundombinu
Uhandisi was ujenzi
Uhandisi was sanaa na ubunifu nk

Leo walipo kuwafikia ni ndoto za Alinacha

Tupo hapa tulipo kwakuwa kigezo chetu kikuu si taaluma bali ni mahaba kwenye taasisi... Kwahiyo hata machaguo yetu hatutazingatia taaluma bali mahaba na kujipendekeza

Kwetu sisi uhandisi ni ukhanisi tuu.. Hauna maana yoyote..! Indio maana tukishika kiongeo ni mipasho majigambo, vijembe, kujimwambafy na vitisho..!

Tulipokosea sana ni pale tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma!
1748524646397.jpg
 
'Magwajima'!🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
images.jpeg
makenge wenzangu tuache ugwajimanise

Sema miye nawaza hivi hawa watu wasiojulikana kweli mzee wa killing hakuna wazee wanaweza wafanya jambo yani unamloga yeye mwenyewe anajirekodi analopoka miye ndie nisiyejulikana tupo na furani na furani yani wanajirekodi.kisha wanapost katika account zao yani mnawapiga misumari ya maana kweli kwenye jamii yetu hakuna hawa wazee watusaidie hili suala kama.kufa wanakufa familia nzima kwa.l kufuatana mpaka wajue jamii haipendi ujinga
 
View attachment 3351343makenge wenzangu tuache ugwajimanise

Sema miye nawaza hivi hawa watu wasiojulikana kweli mzee wa killing hakuna wazee wanaweza wafanya jambo yani unamloga yeye mwenyewe anajirekodi analopoka miye ndie nisiyejulikana tupo na furani na furani yani wanajirekodi.kisha wanapost katika account zao yani mnawapiga misumari ya maana kweli kwenye jamii yetu hakuna hawa wazee watusaidie hili suala kama.kufa wanakufa familia nzima kwa.l kufuatana mpaka wajue jamii haipendi ujinga
FB_IMG_1748615643017.jpg
FB_IMG_1748615643017.jpg
 
Back
Top Bottom