kwani naye sio zengo ila ni kikosi cha ccmHahahaha kwani naye ni kenge?
View attachment 3351343makenge wenzangu tuache ugwajimanise
Sema miye nawaza hivi hawa watu wasiojulikana kweli mzee wa killing hakuna wazee wanaweza wafanya jambo yani unamloga yeye mwenyewe anajirekodi analopoka miye ndie nisiyejulikana tupo na furani na furani yani wanajirekodi.kisha wanapost katika account zao yani mnawapiga misumari ya maana kweli kwenye jamii yetu hakuna hawa wazee watusaidie hili suala kama.kufa wanakufa familia nzima kwa.l kufuatana mpaka wajue jamii haipendi ujinga