Elimu ya kidato cha sita PCM ufaulu daraja la pili kweli sipati ajira? Dodoma

Elimu ya kidato cha sita PCM ufaulu daraja la pili kweli sipati ajira? Dodoma

Je unaamini nitapata kazi kupitia jamiiforum?

  • Ndio

    Votes: 6 50.0%
  • Hapana

    Votes: 6 50.0%

  • Total voters
    12
Mimi nilipita huko mujibu wa sheria,nakumbuka kuna vijana waliosoma tahasusi za sayansi wenye ufaulu wa division one mpaka division three,waliweza kurudi kule,na walio wengi sasa hivi wana nyota
Inawezekana pia mkuu
 
Umri 26
Jinsia ME
Makazi.. Dodoma mjini
Nb
Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa...

Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea.


"sipendi umaskini"
Ajira gani utapata? Au ukasimamie mashamba ya mpunga Morogoro. Nenda shule kijana. Una elimu ya msingi tu hapo.
 
Back
Top Bottom