grand millenial JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 3,943 Reaction score 5,550 Oct 24, 2021 #21 Ndama Jeuri said: Mimi nilipita huko mujibu wa sheria,nakumbuka kuna vijana waliosoma tahasusi za sayansi wenye ufaulu wa division one mpaka division three,waliweza kurudi kule,na walio wengi sasa hivi wana nyota Click to expand... Inawezekana pia mkuu
Ndama Jeuri said: Mimi nilipita huko mujibu wa sheria,nakumbuka kuna vijana waliosoma tahasusi za sayansi wenye ufaulu wa division one mpaka division three,waliweza kurudi kule,na walio wengi sasa hivi wana nyota Click to expand... Inawezekana pia mkuu
D DidYouKnow JF-Expert Member Joined Jul 28, 2019 Posts 1,229 Reaction score 1,950 Oct 24, 2021 #22 Mtu smart said: Umri 26 Jinsia ME Makazi.. Dodoma mjini Nb Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa... Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea. "sipendi umaskini" Click to expand... Ajira gani utapata? Au ukasimamie mashamba ya mpunga Morogoro. Nenda shule kijana. Una elimu ya msingi tu hapo.
Mtu smart said: Umri 26 Jinsia ME Makazi.. Dodoma mjini Nb Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa... Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea. "sipendi umaskini" Click to expand... Ajira gani utapata? Au ukasimamie mashamba ya mpunga Morogoro. Nenda shule kijana. Una elimu ya msingi tu hapo.