Elimu ya kitaa: Je, unajua kwanini wapangaji wengi hawapendi kuishi nyumba moja na mmiliki?

Mimi wakati nimepanga niligundua mama mwenye nyumba ananitegea binti yake. Ilikua kukiwa na ishu yoyote anayotaka kuniambia haji yeye, anakatuma kabinti kake kalikua ndio kamemaliza fom foo chuchu dodo. Hadi siku moja nikamfuma kamtuma binti kwangu halafu yeye kabana dirishani anatuchungulia!

Nilichofanya nilihama kwanza pale, halafu ndio nikakavuta kale kabinti nikawa nakatafuna vizuri.
 
Vijana wa siku hizi hamna maadili msilete visingizio.Enzi zetu kipindi cha nyumba mtu unapanga nyumba moja mpaka unahama unaenda kujenga nyumba yako inamaana sisi tulikuwa hatuwajui mademu.??

Vijana hawana utu mtu anapanga chumba anajiona kama kakodi nyumba nzima eeh??Mtu anaishi ishi tu kisa kapanga hata akisikia mpangaji mwenzake kapatwa na tatizo yupo kituoni au kalazwa au nyumba aliyopanga pana msiba anashindwa hata kutoka kutoa ushirikiano ,na hapa ndio chuki zinapoanzia ???

Kuhusu kuingiza mademu usione kama mwenye nyumba anakuonea wivu ila unaingiza kistaharabu ss unamkuta mtu anakuja na kademu kake wanaanza kushikana shikana adharani .

Binafsi nishapanga sana,unapokua kwenye nyumba ya watu jaribu kwenda sawa na wenzio .Kama umeleta mshikaji au demu hakikisha unamtambulisha kwa mwenye nyumba au majirani ili kesho na kesho kutwa ikusaidie .
 
Acha ujinga wewe!
 
Back
Top Bottom