HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Hili liko wazi na halipongiki.
Kama Waafrika wamesoma hadi kuwa maprofesa na bado hawatambui juu ya uongo ndani ya uislam/ukristo na bado hawatambui wanatoka wapi na wanenda wapi kiasi cha kuendelea kutumia majina ya ubatizo ya kizungu na kiarabu yasiyo na maana kwao i.e:john,joseph,julius,abdala,issa,mussa,mohamed,nk na kuyasigina majina yao ya ASILI YA KIAFRIKA yenye maana basi hiyo elimu waliyorishwa na kukaririshwa haijawakomboa KIFIKIRA na haitokaa iwakomboe KIFIKIRA kwani wamemezeshwa ujinga.