HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Naona ID mpya iliyoibuka na hoja za kupinga dini kutoka mashariki ya kati ikikazana kuleta nyuzi kwa kasi kubwa
hata ume na ID mia ukileta hoja humu utapingwa tu. unataka turudi kwenye zama za ujima? Dini ndio zimeleta maendeleo ya kielimu na maadili. Injili imehubiriwa mpaka afrika. Kama si dini za kigeni zilizotustaarabisha ushenzi ungekuwa mwingi. Wachina wenyewe wanaiga filosofia za dini za kigeni toka mashariki ya kati, halafu mbuzi kama wewe unapinga huku tayari una maarifa ya dini za kigeni umesoma ndani ya mifumo yao, shwainiWajinga kama wewe ambao ni watumwa wackifikira wakati wenu umefika sasa wa kuondoka na nyie mwende kwa mabwana zenu waliowayelekeza mkaungane.
Nipo jf longtime tangu inaanza na sina ID moja humu kama wewe.
WAKE UP AFRIKANS!
Binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiriHili liko wazi na halipongiki.
Kama Waafrika wamesoma hadi kuwa maprofesa na bado hawatambui juu ya uongo ndani ya uislam/ukristo na bado hawatambui wanatoka wapi na wanenda wapi kiasi cha kuendelea kutumia majina ya ubatizo ya kizungu na kiarabu yasiyo na maana kwao i.e:john,joseph,julius,abdala,issa,mussa,mohamed,nk na kuyasigina majina yao ya ASILI YA KIAFRIKA yenye maana basi hiyo elimu waliyorishwa na kukaririshwa haijawakomboa KIFIKIRA na haitokaa iwakomboe KIFIKIRA kwani wamemezeshwa ujinga.
Wasabato wako airport hawajui wanaenda nchi GANI, Hawana passport, Hawana visa, Hawana ticket, Hawana boarding pass, wana Biblia tu mikononi mwao, eti wameagizwa waipeleke injili duniani koteHili liko wazi na halipongiki.
Kama Waafrika wamesoma hadi kuwa maprofesa na bado hawatambui juu ya uongo ndani ya uislam/ukristo na bado hawatambui wanatoka wapi na wanenda wapi kiasi cha kuendelea kutumia majina ya ubatizo ya kizungu na kiarabu yasiyo na maana kwao i.e:john,joseph,julius,abdala,issa,mussa,mohamed,nk na kuyasigina majina yao ya ASILI YA KIAFRIKA yenye maana basi hiyo elimu waliyorishwa na kukaririshwa haijawakomboa KIFIKIRA na haitokaa iwakomboe KIFIKIRA kwani wamemezeshwa ujinga.
hata ume na ID mia ukileta hoja humu utapingwa tu. unataka turudi kwenye zama za ujima? Dini ndio zimeleta maendeleo ya kielimu na maadili. Injili imehubiriwa mpaka afrika. Kama si dini za kigeni zilizotustaarabisha ushenzi ungekuwa mwingi. Wachina wenyewe wanaiga filosofia za dini za kigeni toka mashariki ya kati, halafu mbuzi kama wewe unapinga huku tayari una maarifa ya dini za kigeni umesoma ndani ya mifumo yao, shwaini
Naimani wewe ni wa kupinga kila kitu na uko tayari kufa kwa kupinga ukweli kwa sababu umeumbwa hivyoNakusikiliza endelea nitakujuby kwa pamoja ili jamii ya jf ipime nani shwaini kati yangu na wewe
mambo ya dini hutayaweza, we ongelelea siasa, hapa utanyukwa mpaka ukimbie nyuzi zako za kukandia dini, mbuzr weNakusikiliza endelea nitakujuby kwa pamoja ili jamii ya jf ipime nani shwaini kati yangu na wewe
Mwafrika kaingia kweny mifumo ambayo haendani nayo.Ukombozi wa kifikra ni jambo binafsi zaidi kuliko kutegemea elimu za kuletewa
Nikoona mwafrika anajifanya anajua siasa za kuleta namuona mjinga kabisa hasa hawa wa demokrasia... Mifumo wa siasa inaathiri pakubwa maendeleo kwa ujumla.mambo ya dini hutayaweza, we ongelelea siasa, hapa utanyukwa mpaka ukimbie nyuzi zako za kukandia dini, mbuzr we
Ukiwa mvivu wa kufikiri , inamaana unaififisha akili yako,,mwisho wa siku you will be empty,,Binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri
Umasikini na tamaa ya madaraka ili kujilimbikizia mali vina sumbua jamii za kiafrika mimi nimefuatilia kwa ukaribu kwanini wanaopewa dhamamana huahirisha kufikiri hasa wanasiasa hadi nimewatengenezea dhana inaitwa unyumbu wa kisiasa
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki) a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite
Many are figure headsUkiwa mvivu wa kufikiri , inamaana unaififisha akili yako,,mwisho wa siku you will be empty,,