Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi yangu imejaa yaani inagoma kuwa-sharp
Hivi inawezekana kweli kufuta kumbukumbu zote za nyuma na kubakia na elimu tu niliyonayo..???Hahhah reset to original mode
Ndiyo tunafanyaje...atleast nifute zile mbayaSio zote ila inawezekana kupitia meditation
Kwa ninavyo fahamu meditation ni kutuliza akili mahali pasipo na kelele ukiwa unavuta kumbukumbu za matukio ya nyumaFanya meditation
Meditation ni mkusanyiko wa yote hayo na mengineyo
Samahani unaweza kunielewesha kuhusu hivyo vidole kuvikunja hivyo ana maana gani??... na je ni lazma kwenye meditation kufanya hivyo..?...Meditation in your daily routine
Kwanza mniwie radhi nitachanganya lugha kiingereza na kiswahili Pili post yaweza kuwa ndefu tuvumiliane lakini nitajitahidi kuifupisha Wanaforum tumekuwa na masomo mengi mazuri juu ya meditation hasa toka kwa Pasco Mtambuzi heshima kuu kwao na ndugu yetu Rakims Ni masomo ambayo kwa kiasi...www.jamiiforums.com