Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mzee hebu izungumzie kidogo hii kitu
Hakika kabisa.Imani ndio kila kitu.. Bila imani hakuna uhai wa kiroho.. Na dhambi kubwa kuliko zote ni kukosa imani.. Imani huzaa waamini, waumini na waaminio.. Imani ni tendo la kiroho zaidi