Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
bas tunaomba historia za dunia nzima ziandikwe upya maana naona kuna uongo mwingi sana tumedanganywa kwaajiri ya manufaa ya wachahe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bas tunaomba historia za dunia nzima ziandikwe upya maana naona kuna uongo mwingi sana tumedanganywa kwaajiri ya manufaa ya wachahe
Mshana jr hii mbinu ya kuficha kitu kwenye vitabu aliitumia jamaa angu hiv advance. Yeye alikuwa anaficha simu.
Duh hii kali sanaMshana jr hii mbinu ya kuficha kitu kwenye vitabu aliitumia jamaa angu hiv advance. Yeye alikuwa anaficha simu.
Yaani alichukua counter book quire four lenye ujazo lile then aliacha page kadhaa za mbele na nyuma then zile za. Katikati alichonga na wembe vzri umbo la kukaa simu yake katikati. Hata wakague vp jamaa alikuwa hana wasiwasi.
copy & modifying
AiseePicha na maelezo yote kwa hisani ya Facebook.
Ni mtiririko wa picha na matukio yasiyofundishwa wala kusemwa kwenye maisha yetu ya kawaida.. Yana ufunuo na maarifa mengi ndani yake...shukrani kwa mtandao wa Facebook/Meta.
Mwamba Jackie..
Watu waliosoma mipango hiyo kitu wanaifahamu vizuri nikisema niielezee hapa nitakesha