Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #581
Kushoto ni KONGOLO MOBUTU A K A SADDAM HUSSEIN NA kulia ni JOSE KONGOLO FBI.
Hawa watu wawili wamekuwa wakitajwa katika nyimbo mbalimbali za wanamuziki wa congo kiasi ambacho watu wengi hudhani majina yote mawil yanamhusu kongolo mobutu ambaye ni mtoto wa rais Mobutu . kumbe sio wanapomtaja kongolo mobutu saddam hussein, huyo ni mtoto wa rais wa kongo aliyeondoshwa madarakani na kabila. wanapomtaja. jose kongolo fbi huyo ni mwanamama ambaye ana mgahawa katika jiji la paris ufaransa. yeye ni raia wa congo pia. amekuwa msaada sana kwa wanamuziki wa congo wafikapo paris kutafuta maisha. amekuwa akijitoa kwa moyo mmoja kuhakikisha wanamaliza changamoto zao na kuwawezesha kutoboa. kwa shukurani humrusha kwenye nyimbo zao.