Ghetto Diva
Member
- Nov 30, 2011
- 7
- 2
Ubure Wa elimu ya msingi uko wapi Kama michango ni lazima., ni wazazi wangapi ambao hawawezi kulipa michango Hiyo (elfu 20-40) zikitofautiana shule mbalimbali..? Kila mtoto Ana haki ya elimu, je itaitwaje haki wakati inanunuliwa...?