Elimu ya msingi bure wakati michango ni lazima..?

Elimu ya msingi bure wakati michango ni lazima..?

Ghetto Diva

Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
7
Reaction score
2
Ubure Wa elimu ya msingi uko wapi Kama michango ni lazima., ni wazazi wangapi ambao hawawezi kulipa michango Hiyo (elfu 20-40) zikitofautiana shule mbalimbali..? Kila mtoto Ana haki ya elimu, je itaitwaje haki wakati inanunuliwa...?
 
Back
Top Bottom