Kireka1980 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2008 Posts 302 Reaction score 44 Mar 8, 2009 #1 wadau mimi kwa mtazamo wangu hii elimu ya msingi haiendi na wakati na ni upotezaji wa muda. Hata wanafunzi wanaomaliza darasa la saba hawana walicchokipata zaidi ya kuongeza miaka. Wanajamii mnasemaje?
wadau mimi kwa mtazamo wangu hii elimu ya msingi haiendi na wakati na ni upotezaji wa muda. Hata wanafunzi wanaomaliza darasa la saba hawana walicchokipata zaidi ya kuongeza miaka. Wanajamii mnasemaje?