elimu ya msingi

elimu ya msingi

Kireka1980

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2008
Posts
302
Reaction score
44
wadau mimi kwa mtazamo wangu hii elimu ya msingi haiendi na wakati na ni upotezaji wa muda.

Hata wanafunzi wanaomaliza darasa la saba hawana walicchokipata zaidi ya kuongeza miaka. Wanajamii mnasemaje?
 
Back
Top Bottom