Kyaiyembe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 1,712
- 670
Kwa hapa Tanzania sawa na Nape Nnauye ni sawa Mwaikimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hapa Tanzania sawa na Nape Nnauye ni sawa Mwaikimba
Duh! chama, nadhani unatania!Kazi ya John Mnyika itapimwa na watu wa Ubungo; ila kwetu CCM Nape Nnauye kifaa kama vile Messi
Chama
Gongo la mboto DSM
Chama, why do you speculate? why can't you leave the task to Nape himself?
John Mnyika alikuwa natafuta sympath kwa watu wasiosoma hakukuwa na jibu lolote la kunishtua mimi; yeye ni form 6 tu hana cha zaidiJitihada zipi hujaeleza, na hii inatokana na kujibu usichokijua. Umwache Nape Nnauye aje mwenyewe aweke bandiko hapa kama John Mnyika alivyokuja akiwa Verified na kujibu. Wewe unaleta projo tu.
Kwa hapa Tanzania sawa na Nape Nnauye ni sawa Mwaikimba
kitu kinachonisunbua sana, hivi ni mpaka lini mtu anasimama anaongea upuuzi ambao matokeo yake watu wana chinjana damu inamwagika lakini hakuna hatua zozoet zinazo chukuliwa, sana sanawatu wanaishia kuandika mitandaoni na magezetini huu ni utani usiokuwa na mipaka, zinazopotea ni roho za watu, lazima nchi iwe ina heshima siyo mtu ana kurupuka unaropoka tu kama juha ili tu asifiwe na mwenyekiti, apewe cheo, wakati nchi inateketea, ROHO ZA WANYONGE ZINALIA SANA...hii ni laana kubwa,Mkuu kwenye red hapo pana husika sana,alafu kuna k.i.m.a mmoja anajaribu kutetea ujinga hapa.
Chama, i am not a public figure, so don't trouble yourself to know my academic achievement, however, there are people who appreciate my knowledge and service the way i appreciate Mnyika's contribution to our nation.It is what it is! I am not here to defend him (Nape) or speculate anything; we all know what qualifications needed in order to sit for form 6 exams so all these ---- against him are just bullshit; he got his masters what do you have?
Chama
Gongo la mboto DSM
Mnyika amefanya nini kwa maslahi ya taifa hili? Mnyika hakuchaguliwa Ubunge na watu Kisarawe hivyo wa Ubungo ndio wanaojua ufanisi wa Mnyika sisi wengine hatuujui
Chama
Gongo la mboto DSM
Umeazimishwa akili na nani? Form four failure af uwe na Masters? Unataka kuniambia toka A'level, degree hadi Masters kafikafikaje huko?John Mnyika ana ONE Nape Nnauye ana Zero...Nape ni form four failure.
Chama, i am not a public figure, so don't trouble yourself to know my academic achievement, however, there are people who appreciate my knowledge and service the way i appreciate Mnyika's contribution to our nation.
You are right! people can learn a lot from Nape including rude language and inconsistance. Furthermore, people can learn from Nape that, it is possible to attain academic achievement by simply insulting CHADEMA!Well that is your opinion! The same way you feel about John Mnyika I feel the same; Nape Nnauye has made positives contributions towards this nation; and instead of wasting time questioning his achievements I think it would be better for nayer sayers to learn something positives out of him; between the two; there are a lot of things to be learned.
Chama
Gongo la mboto DSM
Kazi ya John Mnyika itapimwa na watu wa Ubungo; ila kwetu CCM Nape Nnauye kifaa kama vile Messi
Chama
Gongo la mboto DSM