Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

Mwenyekiti: (Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, upande wa Bara)

Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe;
Kiwango cha elimu (education); Form four leaver.(form six alipata zero-hana cheti)
Uzoefu (Experience); Disco joker (DJ)

Mgombea Mwenza Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, upande wa Zanzibar.
Ndugu; Said Mzee Said;
Kiwango cha Elimu; Darasa la Saba (Standard Seven)
Uzoefu (experience); Muuza Samaki

Katibu Mkuu:
Ndugu Wilbrod Peter Slaa*
Kiwango cha Elimu; Walakini na kiza kinene kama ilivyoainishwa hapo Juu.
Uzoefu; Padri wa Kanisa Katoliki Tanzania.
*jina Peter Slaa pia linawalakini.(sio jina lake halisi)

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi;
Mhe. John Mnyika
Kiwango cha Elimu; Kidato cha Sita (Form six leaver)
Uzoefu: Kiongozi wa Migomo*.
*(Un-official disclosure)

Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Kivuli Ulinzi na Usalama
Mhe; Godbless Lema
Kiwango cha Elimu; Form four leaver. (Kidato cha Nne)
Uzoefu: Muuza mitumba Arusha.

Waziri Kivuli Habari, Michezo na Utamaduni
Mhe; Joseph Mbilinyi.
Kiwango cha Elimu; Darasa La Saba (aliacha shule akiwa form two)
Uzoefu; Muimba muziki wa kihuni (hiphop)

Waziri kivuli wa Maliasili na Utalii;
Mhe; Peter Msigwa
Kiwango cha Elimu; Form four (kidato cha nne)
 
Acha niwachane laivi nyie: "Hivi kwanini mmekalia kujua matokeo ya watu wengine sasa wewe MsemaUkweli mbona hujatoa matokeo yako tuone mnashadadia vitu vya watu ambavyo havitawapeleka wala kuwasaidia chochote kile mnaleta hoja gani hapa zisizo na msingi " jengeni hoja za msingi kabisa sio kuleta vitu vya kitoto hapa
1. Huyu ni kiongozi.
Mambo ya elimu za viongozi ni mambo yenye maslahi ya Taifa. Akitaka tusihoji Elimu yake afanye shughuli zake binafsi.

2. Halafu nilifanya makusudi kufanya hivi baada ya Nape kuhoji Elimu ya Mnyika. Yaani nilimrudishia alilolianzisha yeye mwenyewe. Sasa kumbe ni mkuki kwa nguruwe....? Au kun.ya anye kuku aki.nya bata .......

Yaani wewe mwenyewe umeona kuwa mbinu anayotumia Nape ya kuanzisha hoja za kusema wengine si mbinu nzuri. Leo imemgeukia!!!!
 
kama kweli mmekubali akili ndogo itawale akili kubwa mnapotea kama hawa jamaa ni kweli wana hizo elimu then wengine wanasumbuliwa na hawalali usingizi kweli mmekubali akili ndogo itawe ile kubwa

Duuh. is ths true? i dnt blv.
 
nape akili ndogo yaku ropoka, humu jf anamshinda akili huyu mburula mwenzie CHAMA, unakaa unamtete mtu kalamba four eti ana masters, chuo kivipi? mzumbe wanapouza kwa pesa, angeenda mliman sasa aone, pumba kabisa kijana mwenye uchungu na tz unafagilia ujinga! ye c ndo alianzisha mada aje na yeye na vyeti vyake vyakuunga supa glue hapa tumuone, mnyika ni zaidi ya vyeti he is so smart.
 
Aliwahi yeye mwenyewe kutuambia kuwa alisoma India kwa mkopo wa bodi ya mkopo.

Nauliza uhalala wa mkopo huo kwa mtu mwenye Division O. Au ni alitumia cheo cha baba yake kupata huo mkopo?
Ndugu Mwanaukweli,
Swali lako linaweza kujibika kama ifuatavyo.
Nape mwenyewe amepata kunielza kwa kinywa chake, mahali fualani na mwaka fulani,namna alivyopata kusaidiwa ,mwaka 2002 na Rais wa awamu ya Tatu kupata nafasi ya kusoma na kisha kuhitimu Chuo cha Kivukoni katika ngazi ya astashada.Kwa kweli uhusika wa Rais huyo na ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa CCM wakati huo katika kumpatia Nape nafasi ya kusoma katika Chuo cha Makada wa CCM,na tukizingatia ukweli kuwa Mzee Moses Nnauye alipata kuwa mshauri wake huyo katika masuala ya siasa kabla ya kifo chake ulipata kunishangaza mno na kuibua uwezekano wa mgongano wa kimaslahi kati ya wawili hao.Kwa hali ya kawaida kabisa, mtu mwenye alama stahiki hahitaji hata barua ya Afisa Mtendaji kuweza kupata udahili katika ngazi hiyo katika chuo chochote hapa nchini!B
Baada ya kuhitimu Kivukoni, ni wazi aliyatumia matokeo hayo kupata udahili na kuhitimu katika Chuo cha Diplomasia kusoma Stashahada na kisha kuyatumia matokeo hayo kupata mkopo kuweza kugharamia masomo yake India.
Ninayaeleza haya si kwa sababu nina chuki wala wivu dhidi ya mafanikio ya Nape kisiasa.Wala sisemi haya kwa kuwa mimi si mwana CCM.Ninayaeleza haya nikihimizwa na maneno yanayopatikana katika Imani ya MwanaTANU:''Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko''.Aidha kinachonisukumu kuandika haya ni wito wangu wa kushiriki zoezi la kuweka sawa rekodi mbalmbali ikiwemo ya kwake hapa jamvini kwa kuwa yaelekea hana ujasiri wa kuifanya kazi hiyo.Ni matumaini yangu kuwa maelezo yangu hapo juu yamefafanua swali lako.
 
Nimeamua kueleza ukweli huu baada ya kuona upotoshaji wa makusudi unaoendelea humu.

Kuna mtu kajitokeza kujibu elimu ya Nape wengi wakahoji kwani Nape yuko wapi asijitokeze mwenyewe kujibu kama alivyofanya Mnyika?

Naomba mfahamu aliyejibu ni Nape mwenyewe kwa kutumia ID ya bandia, lakini amekuwa mno too radical hadi watu wakamshtukia.

Lakini hoja sio kuwa radical, au kutumia ID bandia, hoja ni kuwa amefanya upotoshaji wa makusudi uliotuacha mdomo wazi wale tunaomfahamu. Sasa ukweli kuhusu elimu ya Nape huu hapa.

Mwaka 1993 alifeli darasa la saba. Wakati ule jina halali la Nape akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma nae wanakumbuka. Bt akafanyiwa mpango na kupewa jina la Nape Mkumbo Nyagicha mtoto masikini wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini familia yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha.

Mwaka 1994 Nahum Nnauye akajiunga na shule ya sekondari ya kutwa Ngudu wilayani Kwimba akiwa na jina jipya la Nape. Mwaka 1995 akahamishiwa shule ya Sekondari Nsumba kwa kutumia title ya baba yake Mzee Moses Nnauye.

Mwal 1997 akafeli form four kwa kupata division four ya point 29 akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat mara 2 bila mafanikio pale Butimc TTC ambacho ni kituo cha watahiniwa binafsi. Mwaka 1999 na mwaka 2000.

Akakata tamaa na hatimaye mwaka 2001 akaamua kwenda kusoma cheti cha Uhazili (cert of secretarial services) katika chuo cha Kivukoni. So kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa Nahum Moses Nnauye (Nape) hajawahi kusoma form 5 shule yoyote duniani. Kama anabisha aje hapa tumuulize maswali ya Geography 1 au Ecomics 2 uone atakavyochanganyikiwa. Kwanza hajui kama kuna paper 1 na 2 A.level, atasemaje amesoma A.level?

So akatumia cheti chake cha uhazili kuomba diploma pale chuo cha Diplomasia kurasini. akapata na akaanza kusoma. Mwaka mwaka 2002 akafeli kuendelea na 2nd year baada ya kupata suplimentary 4 ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma. So kwa kifupi akadsco. Hivyo naomba ieleweke kuwa huyu jamaa anayejiita Nape hajawahi kutunukiwa diploma yoyote kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini. Kwanza asikidhalilishe chuo maana pale hakuna Diploma ya mwaka mmoja. kama anabisha aupoad picha yoyote hapa alipokuwa anatunukiwa hiyo diploma.

Grace Mwasonge unamkumbuka Nape vzr maana alikuwa classmate wako wakati huo. So najua uko humu japo kwa ID tofauti naomba ujitokeze kudhibitisha ili isionekane nafanya defamation.

Mwaka 2004 akatumia cheti chake cha form four kuomba degree India kwa kusaidiwa na mwandishi mmoja mashuhuri nchini kwa kuwatafutia vyuo vya nje watu waliofeli.

Na akapata kwa masharti ya kusoma miaka minne. Ikumbukwe India ni nchi yenye vyuo vya hovyo sana duniani, na ni miongoni mwa nchi ambazo hata kama una zero unaweza kusoma Bachelor bila matatizo yoyote hadi ukahitimu. Reffer kesi ya Mr.Andekisye, Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha University kwa kusoma elimu feki India. Andekisye aliajiriwa kama mhadhiri wa Marketing na Business Mathematics akidai ana MBA kutoka India.

Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni kweli ana Masters ya MBA bt hajawahi kusoma Bachelor. Alichomoka na Diploma yake ya Ualimu (Mathematics & Physics) kutoka Monduli TTC akaaply Masters India akapata akaenda kujoin. Sasa imagine mtu anatoka Diploma anakwenda Masters sembuse Nape kusoma bachelor?

Nape akapata degree yake fake ya psychology ambayo ndiyo aliyoitumia kuomba masters mzumbe. Na mzumbe hakukabidhi cheti zaidi ya kile cha degree yake ya India.
Kama anabisha aweke vyeti vyake vya o.lel na a.level hapa.

Huyo ndiye Nahum Moses Nnauye anayejiita Nape. Katibu mwenzezi wa Chama cha Mapinduzi CCM na mgombe ubunge ubungo mwaka 2010, wakati ule akijaribu kushindana na Genious aliyepata A 9 O.Level yeye akiwa na D 4 tu.
 
Hivi hili kasumba la viongozi wa kisiasa kuiba majina ya watu kumbe ni kubwa zaidi tunavyolifikiria mbona inatisha kama ndio hvyo Lameck Madelu,Nahum Nnauye and co ila hizi ni tuhuma zinazotakiwa zitolewe ufafanuzi na hao washukiwa
 
Tatizo ni kwamba elimu ya Tanzania inaruhusu mtu mwenye cheti kuendelea kusoma fani ile ile hadi chuko kikuu.ili mradi tu unachosoma kinaendana na content?
lakini pia kama Nape alifanya mtihani wa kidato cha sita makongo,inamaana alipata credit za kumruhusu kufanya mtihani huo,maana kwa Tanzania huwezi kufanya mtihani wa kidato cha sita kama huna credit hapo bado najiuliza,Nape alifanyaje mtihani huo kama alivyosema mmoja wa mtoa mada.
wanasiasa,msipende kusemea jambo ambalo mwishowe litakufanya uonekane si lolote kwa jamii.
tuzidi kuijenga Tanzania kwa kufuata misingi itakayoweza saidia kutumia elimu zetu kwa maslahi ya nchi.
 
mjomba nape bora ukapime IQ. huenda IQ yako ni chini ya 70! ni hatari sana mjomba. bado kidogo utaanza kutokwa udenda maana kila siku unazidi kuwa..... pamoja wana 'nyinyiem' wenzako.
 
Kumbe alijifunzia matusi NSUMBA au alitoka nayo NGUDU???????????
NI kilaza tu huyo. Hana lolote katika jamii.
Mbona WASUKUMA WENZAKE NI WAJANJA????????? AU yeye sio msukuma????

Huyu jamaa anaaibisha shule yangu. Nilikuwa hapo 1991. Afadhali nilimaliza mapema maana tunge-differ tu kimitizamo! Halafu si arudi kwenye ulokole!!!!
 
Nahum Moses Nnauye ndani ya Johooooo
109.jpg61a.jpg Kweli usanii safari ndefu
 
Tatizo ni kwamba elimu ya Tanzania inaruhusu mtu mwenye cheti kuendelea kusoma fani ile ile hadi chuko kikuu.ili mradi tu unachosoma kinaendana na content?
lakini pia kama Nape alifanya mtihani wa kidato cha sita makongo,inamaana alipata credit za kumruhusu kufanya mtihani huo,maana kwa Tanzania huwezi kufanya mtihani wa kidato cha sita kama huna credit hapo bado najiuliza,Nape alifanyaje mtihani huo kama alivyosema mmoja wa mtoa mada.
wanasiasa,msipende kusemea jambo ambalo mwishowe litakufanya uonekane si lolote kwa jamii.
tuzidi kuijenga Tanzania kwa kufuata misingi itakayoweza saidia kutumia elimu zetu kwa maslahi ya nchi.

Mkuu Nape aliwahi kusoma Makongo?Mbona msemaji wake Bwana Tandaleone aliuhaminisha umma kuwa alisoma TTC Butimba EGM?
 
Sikujua asante kwa kunielewesha ubarikiwe wangu
1. Huyu ni kiongozi.
Mambo ya elimu za viongozi ni mambo yenye maslahi ya taifa. Akitaka tusihoji elimu yake afanye shughuli zake binafsi.

2. Halafu nilifanya makusudi kufanya hivi baada ya nape kuhoji elimu ya mnyika. Yaani nilimrudishia alilolianzisha yeye mwenyewe. Sasa kumbe ni mkuki kwa nguruwe....? Au kun.ya anye kuku aki.nya bata .......

Yaani wewe mwenyewe umeona kuwa mbinu anayotumia nape ya kuanzisha hoja za kusema wengine si mbinu nzuri. Leo imemgeukia!!!!
 
Back
Top Bottom