Pre GE2025 Elimu ya Nchimbi na hadhi ya Chama cha Mapinduzi mdahalo wake ulitakiwa kusimamiwa na maprofesaa na wanaofanya mdahalo wawe PhD holders

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea
Odemba naye aliyataka, tangu lini CCM wakakubali kufanya mdahalo na Chadema wakiwepo mdahaloni?

Ova
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea
Sharing experience accommodates different levels of learnings
 
Hakika...

Exquisite post [emoji2956]

Levo ya mtunduizi ,akili nyingi balozi Dr.Nchimbi si kusukumiziwa katika mdahalo mwepesi usiosimamiwa na WABOBEZI WA KITAALUMA.....

#Nchi Isalama chini ya Chifu Hangaya.
 
Hata mimi nimehisi mjadala ule ungekosa heshima kabisa.

Nilivyoona comment za wahudhuriaji wanavyosema ni wazi kabisa walijipanga kwa ajili ya kumuattack mtu fulani.
 
....hakika.

Ni bora tu CCM na viongozi wake wakasusia hiyo MIDAHALO...

Ndugu hao hawana nia njema ya kanuni za MIDAHALO na uzalendo kwa taifa lao...

Lengo lao ni kinyume na taaluma ya midahalo kwa kujipanga na "argumentum ad hominem" na "tarnishing of other people's image".

Ya nini sasa ?
 
Uoga mtp. Hata PhD pia znategmea ni za ishu au fani gani. M2 wa geology kujadili na mwanasheria au mwanasiasa kujadili mambo ya fizikia ni upotevu wa muda lkn wanasiasa wenyewe kw wenyewe ndo mahli ake. Ndo ingekua mahli pa kutamba... nk. Naamini mtayarishaji angealika wabobevu kwny mjadala
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA

- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Na wakati wa Kwenda kwenye kuomba Kura inatakiwa awaombe PHD holders wenzake wakipigie chama chake.

Kifupi umeandika UPUUZI,
 
Tahila wewe usomi wa mtu hadhibitishwi na uwezo wa kuongea na wasomi wezake. Msomi wa kweli ni yule anaye weza kufafanuwa mambo magumu na makubwa kwa mototo wa miaka Sita akaelewa vizuri. Kuna msemo wa kizungu usemao hivi: if you can't explain it to six years old, you don't know it at all. Sasa ukiona PHD holders anaye kimbia mdahalo kwa kisinginzio cha kusema sio level yake jua hiyo PHD yake ni ya mashaka.
 
mtu kama Mnyika hata degree hana akajadili nini sasa Chadema yoote management yenu vilaza watupu Lisu naye amewakimbia
 
watu mnamchukulia poa Sana dr nchimbi huyu Edwin odemba naye ni kilaza tu aendeshe mjadala na wabobezi kama nchimbi
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
actually,
Dr nchimbi angekubali kushiriki mdahalo ule huenda angefukuzwa kwenye nafasi yake na pengine hata uanachama wa CCM 🐒
 
mtu kama Mnyika hata degree hana akajadili nini sasa Chadema yoote management yenu vilaza watupu Lisu naye amewakimbia
Sijui kiwango chako cha elimu hata kama ni ya kukariri lkn ulichokiandika hapa ni Upuuzi mtupu.

Ukishakuwa unajadili watu badala ya mada husika elimu yako ina mashaka.
Mfano ungekuwa Afisa Kilimo usingekwenda kwa Wakulima eti kwasababu hawana cha kujadili na wewe mwenye kiwango fulani cha elimu??? Wewe ni mtupu kichwani.
 
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga

hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa wanafunzi wako maana ungejadili nini na hao wanafunzi wako wa chekechea

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Kwani yeye anaongoza maprof?
Analipwa na maprof?
Yuko kwenye nchi ya maprof watupu?
 
Kweli kabisa, saaa hako katoto hata kazini hakajathibitishwa, kanaijulia wapi nchi na historia yake? Walau mwandishi kama Bakari Machumu au Pasco Mayala
 
katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama

Amesigina madhumuni ya chuo kikuu cha Dar es Salaam ambao wametoa ukumbi wao utumike kufanyika mdahalo huu muhimu

Nyerere akiwa mkuu wa kwanza wa chuo kikuu cha UDSM, alipenda utamaduni wa midahalo, cha kusikitisha miaka 54 baadaye viongozi wa CCM 2024 wamekimbia mdahalo

TOKA MAKTABA :
August 29, 1970 ni siku muhimu ktk historia ya UDSM , Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alitawazwa kuwa mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam ambapo jumuiya ya UDSM ya wahadhiri, wafanyakazi wa chuo, wanafunzi walialikwa ....

View: https://m.youtube.com/watch?v=vA7OmdSTZHY

On this historic day (August 29, 1970), Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, the founding father of Tanzania and its first president was inaugurated as the first Chancellor of the University of Dar es Salaam.

The ceremony was a momentous occasion, attended by dignitaries, university staff, and students, all gathered to witness this significant milestone in the history of higher education in Tanzania.

The video captures the grand ceremony with traditional dances and celebrations.
 
Na wakati wa Kwenda kwenye kuomba Kura inatakiwa awaombe PHD holders wenzake wakipigie chama chake.

Kifupi umeandika UPUUZI,
Jamaa hana akili zinazofanya kazi vizuri. PhD aliyoipata "Open University" uzeeni?Ina maana hata nyumbani kwake au mtaani anaongea na madokta michongo wenzake tu mambo ya usafi wa barabara zao?
 
Back
Top Bottom