mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
Lakini imesaidia kwa kiasi kikubwa ila shida ni baadhi ya wazazi kulalamikia hili la Michango midogo midogo.Elimu bure maana yake ni elimu isiotija hiyo ndio maana halisi kwa muktadha wa siasa za magufuli kwa sababu kama michango tunatoa kama kawaida mara hela ya ujenzi wa shule mara sijui chakula shuleni sasa ni elimu bure gani hii? hii ni bure bure kichwani yaani hamna tija
Imesaidia nini mkuu? na wakati gani? Imesaidia kuongeza idadi ya graduates kitaani ambao hawana ajira na hawajawezeshwa kimfjmo ili wajikwamue?Lakini imesaidia kwa kiasi kikubwa ila shida ni baadhi ya wazazi kulalamikia hili la Michango midogo midogo
Kubadili mitaala ni jmbo gumu saana kama unakumbuka kulikuwa na mchakato wa watoto kuishia darasa la sita pekee ila now mambo yapo kwapani.Imesaidia nini mkuu? na wakati gani? Imesaidia kuongeza idadi ya graduates kitaani ambao hawana ajira na hawajawezeshwa kimfjmo ili wajikwamue?? mimi nkngemuunga mkono angefanya reformation ya mitaala, hatuwezi kuendelea kutumia mitaala ambayo ni completely unuseful. Tunawajaza wanafunzi content ambazo ni useless. Tubadili mitaala ndipo hata tukikazia hoja ya elimu bure itakuwa na tija.
Ila tukutaka kuboresha elimu tubadilishe mitaala ni heri elimu iwe ya kulipia pesa ila iwe productive sio kama hivi sasa mtu anamaliza digrii akirudi mtaani anakuwa mpya.Kubadili mitaala ni jmbo gumu saana Kama unakumbuka kulikuwa na mchakato wa watoto kuishia darasa la sita pekee ila now mambo yapo kwapani
Watu wajiajiliIla tukutaka kuboresha elimu tubadilishe mitaala ni heri elimu iwe ya kulipia pesa ila iwe productive sio kama hivi sasa mtu anamaliza digrii akirudi mtaani anakuwa mpya
Wabongo mnapenda vitu vya bure! Sasa hata dawati tu la kukalia mtoto wako, unalalamika.Wananchi Wilayani Kasulu mkoani Kigoma wanaendelea kuchangishwa Madawati mashuleni, baadhi ya wananchi wenye wanafunzi katika shule ya Msingi kidyakidyama wilayani Kasulu wamesema nini maana ya Elimu bure huku wengine wakidai ni wajibu wao.
Mimi nashauri pengine neno Elimu bure libadilishwe litafutwe neno lingine ili kuondoa mkanganyiko kwa wazazi wa watoto au wananchi.