gim
Senior Member
- Jan 28, 2022
- 131
- 241
Habarini za wakati huu wana jamvi,
Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi wa bulchelor (according to yeye) anaomba kazi.
Nikawa najiuliza kwanini serikali isiamue tu kufuta elimu ya sekondari na msingi ikiwa mtu mpaka anafika ngazi ya juu ya elimu hajajua namna ya kuandika neno BACHELOR.