Elimu ya sekondari na msingi ifutwe, madarasa yageuzwe vyuo vya ufundi

Elimu ya sekondari na msingi ifutwe, madarasa yageuzwe vyuo vya ufundi

Alfu nnch gani mitaala yake Ni nzur na ya kuigwa mbna Hakuna hat Moja iliyowai kufananishwa kuwa tukitumiaa mitaala ya nnch fln tutapunguza matatizo ya kweny jamii

Nina rfk angu Yuko madgasca ananiambia kuwa mitala yao na ya kwetu na ufaransa zimefanana hakuna jipya kumbuka wao pia. Wanatumia kifaransa kufundisha lkn Bado Hali Ni ile ile
 
  • Thanks
Reactions: gim
Hapana. Hakuna taifa hata moja linalofanya hivyo duniani.

Elimu ya ufundi stadi inaweza kuwa integrated vizuri hasa kuanzia kidato cha sita na mtu asiweze kuhitimu bila kuwa na ujuzi maalum.

Kuna model moja katika jimbo moja kule Marekani inafanyiwa utafiti bado lakini imeanza kutoa matunda mazuri sana. Kwa vile nami ni mshiriki mtendaji katika model hii nitakuja kuiandikia thread na hata kuiandika vizuri na kuiwakilisha kwa wahusika. Sema tu sijui kama huwa wanasikiliza mawazo ya watu ambao hawako kwenye system.

Elimu ya msingi na sekondari ina jukumu la kuwapa vijana wetu mawazo ya jumla kuhusu ulimwengu wetu unavyoendeshwa katika nyanza zote na iachwe itimize lengo hilo!
Sawa nakubaliana na hoja yako, lakini je tukijiuliza mitaala yetu tunayotumia inaendana na maisha ya mtanzania halisi?
Je mwanafunzi akimaliza elimu yake ana uwezo wa kupambanua na kujua kipi cha kufanya kujiletea maendeleo?
Je ana uwezo wa kujiajiri?
Kama sivyo basi viongozi watilie mkazo kwenye technical schools ambazo wakati huu zimeanza kupoteza lengo la kuanzishwa kwake.
 
Alfu nnch gani mitaala yake Ni nzur na ya kuigwa mbna Hakuna hat Moja iliyowai kufananishwa kuwa tukitumiaa mitaala ya nnch fln tutapunguza matatizo ya kweny jamii

Nina rfk angu Yuko madgasca ananiambia kuwa mitala yao na ya kwetu na ufaransa zimefanana hakuna jipya kumbuka wao pia. Wanatumia kifaransa kufundisha lkn Bado Hali Ni ile ile
Ushawahi kujiuliza hii midoli ya kuchezea watoto inatengenezwa na nani? Ukishapata jibu utaona jinsi nchi za wenzetu zinainvest kwenye elimu ya ufundi stadi ili kuendana na tekno inavyozidi kukua. Lakini sisi tumekua ni watu wa kusoma theory tu kila siku
 
Sawa nakubaliana na hoja yako, lakini je tukijiuliza mitaala yetu tunayotumia inaendana na maisha ya mtanzania halisi?
Je mwanafunzi akimaliza elimu yake ana uwezo wa kupambanua na kujua kipi cha kufanya kujiletea maendeleo?
Je ana uwezo wa kujiajiri?
Kama sivyo basi viongozi watilie mkazo kwenye technical schools ambazo wakati huu zimeanza kupoteza lengo la kuanzishwa kwake.
Ndugu yangu. Elimu ya msingi mpaka kidato cha 4 lengo lake duniani kote, kwa kiasi kikubwa, ni kumtambulisha binadamu katika mifumo yote inayoendesha ulimwengu na maisha yake ili aweze kuyalewa mazingira yake japo kwa juu juu. Lengo lake wala siyo ajira.

Baada ya kumpa maarifa haya ya jumla katika umri huu mdogo, na akawa na uelewa wa mambo ya msingi, kuanzia kidato cha 6 sasa tunaweza kumbana na kumpa ujuzi stadi utakaomsaidia katika maisha yake. Marekebisho hasa na mkazo wa kuwapa fundi stadi uanzie kidato cha sita na kuendelea. Ndivyo inavyofanyika duniani kote.

Tusiibane elimu - mojawapo ya nyenzo muhimu sana kwa binadamu - katika ajira na utajiri tu!
 
  • Thanks
Reactions: gim
Nenda ukafatilie na ukamsome vizuri Michael Faraday
Faraday (1791—1867) was an English scientist who studied electromagnetism and electrochemistry and was completely self-taught. Being born the third of four children of a blacksmith just outside of London, England, he had no formal schooling beyond basic reading, writing, and math, and never went to college.
 
  • Thanks
Reactions: gim
Back
Top Bottom