Yawezakuwa Yuko Vizuri Kwenye Practical, Ayo Mambo Ya Kuandika Andika Hajui.Habarini za wakati huu wana jamvi,
Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi wa bulchelor (according to yeye) anaomba kazi.
Nikawa najiuliza kwanini serikali isiamue tu kufuta elimu ya sekondari na msingi ikiwa mtu mpaka anafika ngazi ya juu ya elimu hajajua namna ya kuandika neno BACHELOR.
View attachment 2106313
Haiwezi kufutwa kwa kua baadhi ya ufundi Kama umeme waviwandani na umeme wa majumbani unahitaji uwe na background ya baadhi ya masomo ya secondary hivyo kufuta wakati secondary na vyuo vya ufundi vinategemeana. Na sio Lazima wote tuwe mafundi Lazima tuwe na kada tofauti tofautiHabarini za wakati huu wana jamvi,
Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi wa bulchelor (according to yeye) anaomba kazi.
Nikawa najiuliza kwanini serikali isiamue tu kufuta elimu ya sekondari na msingi ikiwa mtu mpaka anafika ngazi ya juu ya elimu hajajua namna ya kuandika neno BACHELOR.
View attachment 2106313
Aliegundua umeme mwenyewe hakupitia huo upuuzi wa secondary school, sembuse Nyie mafundi michundoHaiwezi kufutwa kwa kua baadhi ya ufundi Kama umeme waviwandani na umeme wa majumbani unahitaji uwe na background ya baadhi ya masomo ya secondary hivyo kufuta wakati secondary na vyuo vya ufundi vinategemeana
[emoji23][emoji23]unachekesha kweli eti aliegundua umeme hakupitia shule???Aliegundua umeme mwenyewe hakupitia huo upuuzi wa secondary school, sembuse Nyie mafundi michundo
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nenda ukafatilie na ukamsome vizuri Michael FaradayAliegundua umeme mwenyewe hakupitia huo upuuzi wa secondary school, sembuse Nyie mafundi michundo
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ana bulchelar ya maabara au sio, basi sawa.Habarini za wakati huu wana jamvi,
Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi wa bulchelor (according to yeye) anaomba kazi.
Nikawa najiuliza kwanini serikali isiamue tu kufuta elimu ya sekondari na msingi ikiwa mtu mpaka anafika ngazi ya juu ya elimu hajajua namna ya kuandika neno BACHELOR.
View attachment 2106313
😅😅😅🤣😅🤣🤣Habarini za wakati huu wana jamvi,
Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi wa bulchelor (according to yeye) anaomba kazi.
Nikawa najiuliza kwanini serikali isiamue tu kufuta elimu ya sekondari na msingi ikiwa mtu mpaka anafika ngazi ya juu ya elimu hajajua namna ya kuandika neno BACHELOR.
View attachment 2106313
Hilo nakataa asilimia zote, kwa sababu masomo husika tunamezeshwa tu laws na principles lakini kuzitumia hatuwezi tukubali tu kwamba elimu ya Tz ni pasua kichwa, wewe kama una kichwa cha kumeza notes waweza kuwa hata tanzania oneHaiwezi kufutwa kwa kua baadhi ya ufundi Kama umeme waviwandani na umeme wa majumbani unahitaji uwe na background ya baadhi ya masomo ya secondary hivyo kufuta wakati secondary na vyuo vya ufundi vinategemeana. Na sio Lazima wote tuwe mafundi Lazima tuwe na kada tofauti tofauti
Error sio [emoji16][emoji16][emoji16] mbele yake amekazia zaidi (degree)acha kuwa too nervous kwa mambo madogo madogo typing error hiyo [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app