Kuna watu humu jamii forum wanajiona wajuaji kwa kundikaa ukikosea kidg tu wanakushukia hatari wanakera mbayaacha kuwa too nervous kwa mambo madogo madogo typing error hiyo [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nakubaliana na hoja yako, lakini je tukijiuliza mitaala yetu tunayotumia inaendana na maisha ya mtanzania halisi?Hapana. Hakuna taifa hata moja linalofanya hivyo duniani.
Elimu ya ufundi stadi inaweza kuwa integrated vizuri hasa kuanzia kidato cha sita na mtu asiweze kuhitimu bila kuwa na ujuzi maalum.
Kuna model moja katika jimbo moja kule Marekani inafanyiwa utafiti bado lakini imeanza kutoa matunda mazuri sana. Kwa vile nami ni mshiriki mtendaji katika model hii nitakuja kuiandikia thread na hata kuiandika vizuri na kuiwakilisha kwa wahusika. Sema tu sijui kama huwa wanasikiliza mawazo ya watu ambao hawako kwenye system.
Elimu ya msingi na sekondari ina jukumu la kuwapa vijana wetu mawazo ya jumla kuhusu ulimwengu wetu unavyoendeshwa katika nyanza zote na iachwe itimize lengo hilo!
Ushawahi kujiuliza hii midoli ya kuchezea watoto inatengenezwa na nani? Ukishapata jibu utaona jinsi nchi za wenzetu zinainvest kwenye elimu ya ufundi stadi ili kuendana na tekno inavyozidi kukua. Lakini sisi tumekua ni watu wa kusoma theory tu kila sikuAlfu nnch gani mitaala yake Ni nzur na ya kuigwa mbna Hakuna hat Moja iliyowai kufananishwa kuwa tukitumiaa mitaala ya nnch fln tutapunguza matatizo ya kweny jamii
Nina rfk angu Yuko madgasca ananiambia kuwa mitala yao na ya kwetu na ufaransa zimefanana hakuna jipya kumbuka wao pia. Wanatumia kifaransa kufundisha lkn Bado Hali Ni ile ile
washamba wa social networks ao [emoji16]Kuna watu humu jamii forum wanajiona wajuaji kwa kundikaa ukikosea kidg tu wanakushukia hatari wanakera mbaya
Afu unakut mtu anaye msahiisha Ni engineer
Ndugu yangu. Elimu ya msingi mpaka kidato cha 4 lengo lake duniani kote, kwa kiasi kikubwa, ni kumtambulisha binadamu katika mifumo yote inayoendesha ulimwengu na maisha yake ili aweze kuyalewa mazingira yake japo kwa juu juu. Lengo lake wala siyo ajira.Sawa nakubaliana na hoja yako, lakini je tukijiuliza mitaala yetu tunayotumia inaendana na maisha ya mtanzania halisi?
Je mwanafunzi akimaliza elimu yake ana uwezo wa kupambanua na kujua kipi cha kufanya kujiletea maendeleo?
Je ana uwezo wa kujiajiri?
Kama sivyo basi viongozi watilie mkazo kwenye technical schools ambazo wakati huu zimeanza kupoteza lengo la kuanzishwa kwake.
Faraday (1791—1867) was an English scientist who studied electromagnetism and electrochemistry and was completely self-taught. Being born the third of four children of a blacksmith just outside of London, England, he had no formal schooling beyond basic reading, writing, and math, and never went to college.Nenda ukafatilie na ukamsome vizuri Michael Faraday