Elimu ya shule ya msingi ndio imeleta matokeo makubwa kwa watanzania wengi kujiajiri

Elimu ya shule ya msingi ndio imeleta matokeo makubwa kwa watanzania wengi kujiajiri

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Nimekuletea kitabu hichi Cha darasa la saba utakubaliana na mimi shughuli nyingi zinazofanywa na watanzania wengi kwa sasa

Napendekeza somo hili lingeanza kufundishwa wanafunzi wa secondary ingeleta tija sana

234.jpg
df.jpg
 
Zamani tulikuwa tunasoma
Sayansi kilimo
Sayansi kimu

Na secondary Agriculture,masomo hayo yalitosha kumwandaa mtu kujitegemea kabisa kwasababu yalikuwa na vitendo zaidi
 
Mbona unamtegesha kila,sehemu ili atukanwe na wapingaji
Hauoni kama unakosea
UMESHASEMA WAPINGAJI HAO HATA ZAMA ZA MTUME PAULO WALIKUWEPO

NA HAO NDIO WALIOMWAMBIA YESU KIPINDI KILE MWALIMU WANYAMAZISHE WANAFUNZI WAKO WANAPIGA MAKELELE ',

YESU AKAWAJIBU KAMA HAWA WAKINYAMAZA BASI MAWE HAYA YATAPAZA SAUTI
 
Watu msio na elimu kubwa mnatafutaga sana kujifariji 🤣🤣🤣🤣
 
UMESHASEMA WAPINGAJI HAO HATA ZAMA ZA MTUME PAULO WALIKUWEPO

NA HAO NDIO WALIOMWAMBIA YESU KIPINDI KILE MWALIMU WANYAMAZISHE WANAFUNZI WAKO WANAPIGA MAKELELE ',

YESU AKAWAJIBU KAMA HAWA WAKINYAMAZA BASI MAWE HAYA YATAPAZA SAUTI
Sawa Ila haipendezi kumueka kila sehemu ili atukanwe Kama unampenda kweli
 
Back
Top Bottom