Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Yuda legacy?NI KWELI KABISA SIFA NA UTUKUFU NI KWA YESU
NDIO YUDA NI LEGACYYuda legacy?
Vijana wengi wamejiingiza kwenye ufugaji kuku sababu ya kukosa ajira lakini washasahau hili somo walishafundishwa theory huko darasa la sabaElimu nzuri sana hiyo
Kweli kabisa aliyekuja na BIG RESULT NOW alikuja kuharibu elimu yetuZamani tulikuwa tunasoma
Sayansi kilimo
Sayansi kimu
Na secondary Agriculture,masomo hayo yalitosha kumwandaa mtu kujitegemea kabisa kwasababu yalikuwa na vitendo zaidi
SureKweli kabisa aliyekuja na BIG RESULT NOW alikuja kuharibu elimu yetu
Kiongozi unampenda yesu kweli?NI KWELI KABISA SIFA NA UTUKUFU NI KWA YESU
NDIO NAMPENDAKiongozi unampenda yesu kweli?
Mbona unamtegesha kila,sehemu ili atukanwe na wapingajiNDIO NAMPENDA
Labda ni yule Yuda kaka yake Yesu na sio yule Yuda IskariotiYuda legacy?
UMESHASEMA WAPINGAJI HAO HATA ZAMA ZA MTUME PAULO WALIKUWEPOMbona unamtegesha kila,sehemu ili atukanwe na wapingaji
Hauoni kama unakosea
Sawa Ila haipendezi kumueka kila sehemu ili atukanwe Kama unampenda kweliUMESHASEMA WAPINGAJI HAO HATA ZAMA ZA MTUME PAULO WALIKUWEPO
NA HAO NDIO WALIOMWAMBIA YESU KIPINDI KILE MWALIMU WANYAMAZISHE WANAFUNZI WAKO WANAPIGA MAKELELE ',
YESU AKAWAJIBU KAMA HAWA WAKINYAMAZA BASI MAWE HAYA YATAPAZA SAUTI
Sawa Ila haipendezi kumueka kila sehemu ili atukanwe Kama unampenda kweli
ππΏππΏππΏSawa
Watu kama nyie ndio huwa mnasababisha wasomi wanazidi kudharaulikaWatu msio na elimu kubwa mnatafutaga sana kujifariji π€£π€£π€£π€£