Elimu ya tanzania haina adabu

Elimu ya tanzania haina adabu

Et wakuu niaje una 1ya17 ana C tatu wote advance
una 1ya 9 ana E mbili wote chuo
una GPA first clas ana GPA ya mwisho na ndo bosi wako
umesoma UD ye kasoma UDOM alafu kitaa kinakuadabisha
Kwa hiyo aliyesoma MIT nae amuadabishe aliesoma UDSM. Right?
 
Kufaulu darasani haimaanishi wengine wana akili za kufanya kazi. Kwa hiyo unaweza kuta mtu amefaulu hajui mambo, na yule aliefeli labda akafanya kazi na baadae kujiendeleza na masomo unakuta uyooooo anaweza interview etc mifano mingi naishia hapa
 
Hehe heeeee nimependa degree humiliki hata smart phone na wakati hizi mi nazichezea kama sina akili nzuri leo iphone 4 , kesho galaxy pocket , kesho kutwa lumia 620 na nikijisikia kuchoka kabisa tecno phantom a au p3
 
Teh teh teh huo mf twende na vikubwa hata ma don wa kibongo weng hawaenda kidato
 
Et wakuu niaje una 1ya17 ana C tatu wote advance
una 1ya 9 ana E mbili wote chuo
una GPA first clas ana GPA ya mwisho na ndo bosi wako
umesoma UD ye kasoma UDOM alafu kitaa kinakuadabisha

tanzania oye
 
Et wakuu niaje una 1ya17 ana C tatu wote advance
una 1ya 9 ana E mbili wote chuo
una GPA first clas ana GPA ya mwisho na ndo bosi wako
umesoma UD ye kasoma UDOM alafu kitaa kinakuadabisha

Kwani kunatofauti kati ya udsm na udom vyote si vyuo vikuu?
 
usikute wewe ndo huna adabu
Et wakuu niaje una 1ya17 ana C tatu wote advance
una 1ya 9 ana E mbili wote chuo
una GPA first clas ana GPA ya mwisho na ndo bosi wako
umesoma UD ye kasoma UDOM alafu kitaa kinakuadabisha
 
lengo c kushindanisha vyuo ila ni kufanya uwiano wa elimu na maisha halisi
 
Vp kwa wale wamezaji!anameza kujibiya paper akitoka kwe exam hana ki2 kichwani halafu ana matokeo mazuri
 
Et wakuu niaje una 1ya17 ana C tatu wote advance
una 1ya 9 ana E mbili wote chuo
una GPA first clas ana GPA ya mwisho na ndo bosi wako
umesoma UD ye kasoma UDOM alafu kitaa kinakuadabisha

life is unfair!
 
Uwezo wa kufikiri na kutendo kwa ubora zaid hudhihirisha ubora wa elimu ya mtu.pia bongo ubora wa cheti ni tofauti na uwezo wa mtu kikazi.mbona sijasikia mtz wa 1 ya 3 amevumbua hata theory moja au tunaishia kupamba vyet na kusubiri kuajiriwa badala ya kuwekeza akili zetu kwenye ujasiliamali.
 
Back
Top Bottom