Ninashindwa kuelewa haya mambo yanayotokea katika SECTOR MUHIMU kabisa ya elimu yana lengo gani.
Hivi karibuni Wizara ilitangaza alama mpya na mpaka ikafika kipindi kukawa na maelewano hafifu na hadi ikaundwa tume kuchunguza mambo haya, lakini nimeshangaa sana alama mpya zilizotolewa hata kabla hazijaanza kutumia, tayari tena kuna alama mpya zimetangazwa, na MBAYA ZAIDI hakuna umoja kwa yanayofanyika na ukiangalia kila mmoja anaongea yale anayoyajua yeye kuwa ni sahihi. mfano mzuri tu leo asubuhi TBC1, naibu waziri wa Elimu ameongea vitu ambavyo vinaukinzani na vile vilivyotangazwa juu ya madaraja ya ufaulu. Kwa namna hii kweli tutafika? Maana tunashindwa kujua nani yupo sahihi na nani hayupo sahihi.
Je, kwa hali hii tunaelekea wapi?