Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna mada niliweka kuwa na mashaka na elimu ya sasa niliweka JF.
Moderator utaweka.
Elimu ya tanzania sasa mtoto kafaulu mfano PCB ila ukiangalia tokea nyuma background na maswali una muuliza ni kichekesho.
Mimi hapa JF sikusomea HKL ndio maana napata tabu na wengi wanaona navyo wasilisha mada.
ila usijichanganye nilicho somea na ulicho nacho.
Sasa hawa wanahitimu kesho wakiwa madaktari si ndo watakuta kuacha mikasi tumboni.