Elimu ya tanzania na ubabaishaji

Elimu ya tanzania na ubabaishaji

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
Elimu ya Tanzania imegubikwa na ubabaishaji mwingi hasa inapofikia wakati wa kutangaza matokeo, hadi leo hii tar4 matokeo ya kidato cha sita hayajatangazwa na hakuna ajue yatatangazwa lini licha ya tetesi za hapa na pale zinazotolewa na wale wanaojiita wadau wa elimu. Swali ninalojiuliza ni kwanini utangazaji matokeo umekuwa ukichelewa? Na matokeo yanapotangazwa jamii ushuhudia matokeo mabovu?
 
Unataka matokeo yatangazwe haraka haraka kisha yafutwe kama ya kidato cha nne mwaka jana?
 
Unataka matokeo yatangazwe haraka haraka kisha yafutwe kama ya kidato cha nne mwaka jana?

kwahiyo bado wanasubiri kuchakachua? Au walipanga vibaya baada ya kusikia ya form four yanarudiwa wameoma warekebishe madudu waliyokuwa wamefanya kwa kidato cha sita?
 
Kwani walitoa specific date ya kutangaza, acheni NECTA wafanye kazi.
 
Ndalichako ni mdini,anatakiwa kujiuzuru mara moja
 
Back
Top Bottom