Hahahahha,,,mnafurahisha vijana,,kwa misingi gani unasema elimu yetu ni duni,,nakumbuka nilivyokuwa shule nilibahatika kupitia sylabus ya kenya yaani ni ya kichovu mno,,,moreover elimu si duni bali utofauti unakuja kutokana na shule utayosoma pia bidii yako binafsi,,trust me utafika mbali