"Elimu ya Tanzania ni duni!!"

"Elimu ya Tanzania ni duni!!"

Joined
Jun 29, 2013
Posts
38
Reaction score
1
Sidhani kwamba "TANZANIA kutokana na kiwango cha Elimu ina uwezo wa kushindana na nchi nyingine za Afrika mashariki e.g Kenya katika soko la pamoja!!"
 
Ni kwel sahv nikuwa na self effort ustegemee walim wala mitihani yao
 
Hahahahha,,,mnafurahisha vijana,,kwa misingi gani unasema elimu yetu ni duni,,nakumbuka nilivyokuwa shule nilibahatika kupitia sylabus ya kenya yaani ni ya kichovu mno,,,moreover elimu si duni bali utofauti unakuja kutokana na shule utayosoma pia bidii yako binafsi,,trust me utafika mbali
 
Back
Top Bottom